Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Ahl Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Idadi kubwa ya Mashia wanaoishi nchini Canada, wamehudhuria na kufanya maandamano na maombolezo ya Arbaeen ya Imam Hussein (a.s), ambayo yalifanyika katika Mji wa Laval, Canada.
29 Agosti 2024 - 19:05
Msimbo wa Habari: 1481682